Jamaaaa mko down u can do better than that..............nyinyi ni washamba jo morning nyinyi huweka bread kwa bara bara thika road! mkiulizwa kwanini mnasema ati mnangoja JAM!
hahahaha!
Jamaaaa mko down u can do better than that..............nyinyi ni washamba jo morning nyinyi huweka bread kwa bara bara thika road! mkiulizwa kwanini mnasema ati mnangoja JAM!
hahahaha!
weh ni black sana hadi ukipigwa picha inatokea njaro ya scratch card,scratch to reveal
Una kicha kubwa mpaka coffin yako itajengwa shape ya lollipop
kaite ati we ni mweusi hadi ukirushiwa mawe inarudi kuitisha torch..
Habo ati We ni hustler hadi mtoi wako akizaliwa anaanza tu kuimba.." ni ya leo, ni ya leo mali ni ya 50, 50..
Ati yo mama so stupid,she sleeps with a ruler to measure how long she sleeps!hahaha
Kaite Ati chali wako ni mfupi hadi akikalia bahasha miguu haigusi chini.Hohoho!
Ati kwenyu mko wengi hadi last born anaitwa tosha.Hahaha!
kwenu si niliskia nyi huserviwa tea na sprinkler??? Ati mbuyu akikam na loaf nyi huambiwa mnuse mkalale,hohoho
Lucy unajua kwanza nimeshindwa kudoz cz nimeamka na nightmare mbaya warthog ikiteta ati we ni m ugly itachnge jina jo...hohoho..
kaite we ni mso hadi nikifundishwa circumference prima ulikuwa example.hohoho..
we ni msoto ati ukiingia church,church mouse inasema,fcuk compe imeingia...
We ni fala hadi we huona zebra crossin unakataa kuvuka ukichil mazebra..
You must log in to post.