Ati dogi yenu ni gheto hadi u kaa kwa rodi ikiomba ma bob za mtura..
Ati nyi ni mababi hadi t.v yenu program ya kwanza huonyesha mapresenterz wa mornin show wakioga.
Ati wewe ni kichwa ngumu hadi shetani ukupea advice.
Ati dogi yenu ni gheto hadi u kaa kwa rodi ikiomba ma bob za mtura..
Ati nyi ni mababi hadi t.v yenu program ya kwanza huonyesha mapresenterz wa mornin show wakioga.
Ati wewe ni kichwa ngumu hadi shetani ukupea advice.
mzeiya ati kwenu nikuzii mpaka madoggy hutembea mbili mbili zisipigwe ngeta...
lucy kaite ati tv yenu ni noma sana iko na channel mbili peke...ON AND OFF..
ATI MATHAKO MNONO SANA HADI AKO BOTH SIDES OF THE FAMILY!!
LUCY KAITE ATI UR BFND IS SO OLD HE VISITED THE DEAD SEA WHEN IT WAS SICK!!
Habo ati wee ni m-ugly sana ukiwa m-small uliekwa kwa incubator tinted usishtue watoi wengine..
ATI WE NI MSHAMBA TU SANA ULIENDA LUTHULI AVENUE KUBUY DISCO LIGHTS ATI U-PIMP FACEBOOK PAGE YAKO!!
ati joggoo zenyu ni lazy mpaka morning ziungoja za neighba zi wike alafu zinasema "same"...alafu ati we ulikua m-ugly ukiwa mtoi mpaka ulikua unaambiwa..."kula ama ntakupatia kioo" hahaha!!
Ati kichwa yako soo hadi ukichecki juu kisogo huingia kwa back pocket.Ati we ni mweusi hadi ukirushiwa mawe,inarudi kuitisha torch!!
ati kichwa yako ni elastic jo wen its too byg ukipanda mathree konkodi anakushow..'mizigo juu ya ndai'..na when it shrinks kuwa ndogo tu sana ukitoa nje ya window ya matt watu huthani ni ngumi waat!!
Ati wee ni fala tu sana uliskia story ya media bill ukauliza,'kwani hio ni bill ya pesa ngapi',si walipe..!!Halafu ati we ni mwenda unapaka vicks kwa chapos ati ndio zikuwe chapati menthol??chapat wewe..
haya basi habo hizo mchongoano kumi kavu nimekupa hapo juu..rudisha kumi kali original kama hizo halafu unishtue ...freestyle mchongoano mzeiya..NA BADO...
Ati manzi yako ana rasa ndogo akiinama wasee wanadhani ni ngumi anakuambia ugote.
Budaako amezoeaka piki piki siku alibuy ndai alitoa mguu moja njee akipiga corner
Ati wee ni mnoma guitar ukiplay inasound ka organ.
ati una sauti soo, organ ikispoil church yenu wee uitwa kuact ka organ.
habo umechapa hadi nikikucheki mi hudhani ni x-ray yako!
habo umechanuka mpaka ukienda soko kubuy mboga unasema usiekewe kwa paperbag, ati wazicopy tu kwa flash-disk yako
ETI NYINYI MMESOTA,HAO YENYU YA NYASI MPAKA WAGONDI WAKIKAM,HUSEMANGAFUNGUA AMA TUITE NGOMBEHEHEHE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ati we ni fala hadi unalala uchi ndio uote porno....
BITTS NI MLAFI HADI YEE HUKULA SHIMO YA DOUGHNUT.
Stil on bitts,manzi yako ana punye ndogo hadi badala ya always hutumia elastoplast.
Wee ni mkonde hadi ukienda club na manzi yako yee huambiwa aache bakora nje.
Kwa kina Habo wako wengi hadi last born wao anaitwa unfinishd.
Bitts ati tivi yenu ni mzee hadi uonyesha wethaforecasts za last week pekee.
Na tena ati uko na maskio kubwa hadi sku ulizaliwa docte alikam amekubeba kama trophy.
Habo manzi yako ni mkonde hadi ukimhug hukaa kama ni tai umevaa. Na bitts ni mweusi hadi akienda supamaket kiwi ziuanza kuimba we are a family...
Bitts ni mnono hadi hatosheagi kwa chat room.
Habo manzi yako ni mkonde hadi ukimhug hukaa kama ni tai umevaa. Na bitts ni mweusi hadi akienda supamaket kiwi ziuanza kuimba we are a family...
Bitts ni mnono hadi hatosheagi kwa chat room.
Manzi yako ni mnono hadi ukimkatia aliingia box mbili.
Ati budako ni wa zamani hadi yeye ndo alioshea eve tha forbiden fruit.
@bitts unaniona kweli??
@habo evryman for hmself n God for us al.
Kwenda huko! Wewe ni fala mpaka mlango za ndae yako hufungwa na vifungo kama shati!
Nöns,kwenu mko wengi hadi lastborn anaitwa 'haiya! ni mwingine!'hahahahaha.
Habo... we ni mrefu hadi ukona body segment kama miwa...
We ni mweusi hadi ukanyaga makaa unaacha footprint.
Buda we uko lembe hadi we uenda choo via bluetooth..
Unataka zingine ?
You must log in to post.