Nonini Music - Wagenge » Support

LYRICS TO KADHAA

(2 posts)
  1. Hey guys here are the lyrics to my new single kadhaa of the Godfather wa genge album.....Unaeza print,copy paste,download and sing along........................

    Artist: NONINI
    Song name: Kadhaa

    Hii ni celebration ya wale watu wote wana leave there dream
    Umekua uki struggle thru thick and thin!
    Finally mambo imeanza kuenda poa
    Thru patience na percistance tumetoboa
    Wafrica tumefika mali tulikua tunataka
    Big Obama na Godfatha!

    Ehh oneni hii mambo vile imeenda sasa,
    Dunia nzima vile mgenge anaandika ukurasa,
    Za history bana! Na ma action na kila kitu miuganafanya.
    Nani alisema hatuwezi ishi na usanii,
    Daily ku waprove wrong tunaongeza vitambii
    Utasmamisha aje kifaru ikiwa full speed mbele
    Itapita nakila kitu fungua pazia wewe
    Bora ujue mchezo jo kuicheza kwa uwanja,
    Wacha hao watangulie waende jo huko kwanza,
    Waaanze na moto kisha watoe jasho bratha,
    Kijelimo unaanza kuwakaribia,
    Ona sasa vile unawapita ukiwasmilia,
    Finish line ndio hio iko karibu imekaribia,
    Moyo inadunda taratibu.......inakimbia,
    Hio ni ndoto yako na hii ni ndoto yangu na ishi,
    Kwa hivyo imba karibia celebrate na mimi.

    Ka una ganji kadhaa.........na umengara balaaaa........Heyyyyyyyy heeeyyyyyyyy
    Una ma chupa kadhaa......na ma dada kadhaaaaa.........Heyyyyyyy heyyyyyyyyy
    Umetoka kwa bank......Gari full kwa tank..........Heyyyyyy heyyyyyyyyyy
    We ni mgenge jamaa.......umepata wife na jamaaaa..... EEhhhhhhh HHeeeeeee...!!!!!!! x2

    Niko full mzuka ka mc hammer,
    Hauwezi guza hii na ma neighbour walihama,
    Sasa usione mziki vile inanguka,
    ma binti wafiti vile wanajirusha
    Sabu sister msmall ame graduate leo campo!
    Nilikua najua haka katoi skumoja katafika hapo
    Brother amedungwa promotion jamo ya vungu
    Ehhhhhhhhhhhhhhhhhh promotion jamo ya vungu?.....
    Brother amedungwa promotion moja ya nguvu
    Loan ile uli apply kitambo naskia imejipa,
    Hio ndai mpya ulikua ukitaka umeishika,
    Sasa usione vile mombasa road inakurarukia
    Bara imeongezwa lane nne unaswitch switch tu ma gear,
    Najua wengi wenyu msachoka na maneno ya siasa,
    Hawa jamaa utuzungusha tu nika tunacheza salsa,
    Haina mambo sku yao itafika
    Lakini in the mean time celebrate kabisa kua mwafrica.

    Ka una ganji kadhaa.........na umengara balaaaa........Heyyyyyyyy heeeyyyyyyyy
    Una ma chupa kadhaa......na ma dada kadhaaaaa.........Heyyyyyyy heyyyyyyyyy
    Umetoka kwa bank......Gari full kwa tank..........Heyyyyyy heyyyyyyyyyy
    We ni mgenge jamaa.......umepata wife na jamaaaa..... EEhhhhhhh HHeeeeeee...!!!!!!! x2

    Kcse najua watu wangu wengi mume pita,
    Playstation 3 ume i earn bila shida,
    Na usiwe na wasi wasi hata ka exam uli dunda jamaa,
    Hauwezi jua labda wewe ndio the future paul Obamaaa,
    Kuna harusi noma leo nime alikwa baadaye,
    Mtu wangu abas anaoa why lie,
    Morale boi wetu huyo ametusetia pace,
    Lakini mimi bado nipo nipo jus incase,
    Ulikua una wonder
    Vuka bongo ukaulize mtu wangu wa nguvu tu mwana,
    Lakini hii reception mambo mbaya,
    Venye hizi drinks zinakamu hawa jamaa wanaubaya,
    Hapa tunamakesure sisi ndio wamwisho kutoka,
    Unakwama ni ka chuma imepigwa solda,
    Hii ni verse ya ma bachelor wote wale wametuacha,
    Sisi tu na celebrate vile watoto kibao tutawapata.tuwachapa!

    Ka una ganji kadhaa.........na umengara balaaaa........Heyyyyyyyy heeeyyyyyyyy
    Una ma chupa kadhaa......na ma dada kadhaaaaa.........Heyyyyyyy heyyyyyyyyy
    Umetoka kwa bank......Gari full kwa tank..........Heyyyyyy heyyyyyyyyyy
    We ni mgenge jamaa.......umepata wife na jamaaaa..... EEhhhhhhh HHeeeeeee...!!!!!!! x2

    Posted 3 years ago #
  2. Ni noma 2 sana,

    Posted 3 years ago #

RSS feed for this topic

Reply

You must log in to post.