manzi wa nairobi ni manzi wa nairobi,ni msupa na anajua kuhustle na kuhepi na kuunganisha chapa all @ tha same time,manze dunia mzima hakuna manzi kama wa nairobiiii...huwezi toboa na manzi wa nairobi kama hauna chapa,sio siri....
Nonini Music - Wagenge » Support
MANZI WA NAIROBI!!
(3 posts)-
Posted 3 years ago #
-
Manzi wa nairobi ana kuambiaga hapa ni garama msela lazima manicure,pedicure na zinginezo kathalicure!
Posted 3 years ago # -
Manzi wa nai, ukishindwa kumkatia ana kukatia kiroho safi ili umpe kile anataka. Heshima kwa madame wa nai. Au sio!
Posted 3 years ago #
Reply
You must log in to post.