Nonini Music - Wagenge » Support

Craziest Genge line uve ever heard........

(38 posts)
  1. Flight ya kwenda makerere si bwerere. N mi ni mskuda lakini sivaagi buibui.
    1st is habo in nawaza feat malik. 2nd is aminaa! Juacali n habo! Tunawatchora t.t.t.t.t.t.t.chora!

    Posted 1 year ago #
  2. Mateso ndio kabisa,tangu e-sir,hizi zingine ni mchezo wa kuigiza,wanakuja wakipotea ka czar,....kusota ni ngulu,niliji huzulu,kwa hicho chama ka ngilu,... TUKOMBELE BY BOBBY MAPESA

    Posted 1 year ago #
  3. Chacha
    Member

    " critics ndio hao wanaongea mbaya,waliskia kenya haiwezi penya mpaka ulaya" .... hii ngona ni yangu

    Posted 1 year ago #
  4. thehumbleafrican
    Member

    "...talent ile iko ndani ya hii mwili jo ni ka...mwea...tebere irrigation scheme ndio huwaga inanilea....unaeza kuwa mjanja lakini kuna mjanja zaidi yako....hii nairobi jo usikosee mtu heshima...kaa zile awards unaezajichimbia...kisima" This is my best verse by nons ever!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    "...omba Mungu...piga chai....shangilia genge" One of my favourite tracks right there...

    "...bratha amedungwa promotion jamo ya vungu...eeeeehh...promotion...."

    Posted 1 year ago #
  5. EEEEhhh jamaaa noma sana naona manze kweli mnaskiza ma mistari wah! Niko jaws down bana i cant believe the quotes im getting manze keep em coming wagenge!........

    Morale joooooo

    Posted 1 year ago #
  6. Moralee!

    Posted 1 year ago #
  7. Niko full mzukah ka MC Hammer........ na ma Neighbour walihama!!

    Naskia kumchukua mpenzi sabuni, niko katika hali ya kusafisha kuni!!!

    Posted 1 year ago #
  8. Nani alisema hiphop ni ya watu wamesota,mimi niishi mtaa na genge imenitosha,kwa hivyo m.c,toka kwa ndoto,ukiniona unateza fura 2 ki kiraitu,kunja mdomo mimi niko ndani ya nai tu,tone yangu sio rough nakumbuka huyo fala,kwa ngoma flani ni kaa alinitaja,siku wahi,kutafuta mkwanja,ma kasisi wanajificha kwa kanisa wanajifanya wajanja,wengine wanaume na macho wana paka wanja.... Walanguzi ft Nonini (BUNGE)

    Posted 1 year ago #

RSS feed for this topic

Reply

You must log in to post.