Nonini Music - Wagenge » Support

Craziest Genge line uve ever heard........

(38 posts)
  1. Niaje jamaa hapa nataka kujua kama really peeps listen to our genge so its simple quote for me the craziest genge line uve ever heard? Name of the genge artist and title of the song?

    Nipeni mistari!

    Posted 3 years ago #
  2. bittz
    Member

    niko gauge jo,niko maji jo,niko 'kerorooo'..hakuna kitu minacheki kwa hii klabu isipokuwa beer yangu na watotoo,kwanza kwa counter kuna moja ananipiga usoro,namnyemelea huku niki...sta...sta..stugger..ananiangalia vibaya lakini minajua yuanitaka..mko wawili ama mi naona vitu zangu,tawacha kwenda mama pima jo kukunywa hang'o...

    Posted 3 years ago #
  3. bittz
    Member

    sori,4gat,artist is nonini,the lines pia ni nons aliimba,tha song iz named 'KERORO'..

    Posted 3 years ago #
  4. bittz
    Member

    'WANUKIA POA KWANI UMEJIPAKA NINI?MMMMMM NA HOPE PIA UMEJIPAKA HUKO CHINI"...MISTARI YA KERORO,BY NONINI..

    Posted 3 years ago #
  5. bittz
    Member

    "NIKO KATIKA HALI YA KUSAFISHA KUNI"

    "USHAONA MTOTOO AMESIMAMA KAMA 4.SITA,AITWA ALIMA MAMA ANITA..MREFU KIDOGO AMENIACHA KITU KAMA 3 METRE,NIMPANDE KAMA MAJI KWA TAP KUTOKA KWA METRE,MDOGO MDOGO,AEZA NITINGISHIA"...

    "MA SMS TUKITUMIANA TU NIZAKUMANGANA"

    "HAPANA TAKA MSICHANA ANANIPENDA SABABU YA NOTI,NATAKA MSICHANA ANANIPENDA SABABU YA NJOTI"

    ARTIST,NONINI,SONG,MTOTO MZURI..

    Posted 3 years ago #
  6. bittz
    Member

    "SHIKA MTOTOO WAKO MWEKE KARIBU NAWE,BESHTE YAKO MNUNULIE BEER PIA NAYE,MTU AKILETA NOMA HAPO PIGANA NAYE,MANZI AKILETA MARINGO JO ACHANA NAYE,KUTA MWINGINE MWAMBIE NIPE NAWE,KONDOM KIBAO JO USINIKAZIE WEE"

    MISITARI YA FURAHIDA SPIT BY NONS..KALI..NA BADO...

    Posted 3 years ago #
  7. ngash44
    Member

    word up dawg??....mimi enyewe humanya mistari yako yonthe...lakini kuna jamo huni fanya ni recognize wewe ni lyrical genius....ati amniotic fluid ndio huwanga kwa tumbo za wamatha lakini mi huwish kitu moja jo, afadhali ingekuwa ni keroro iko huko ndaniya tumbo,matha nikishalewa nampiga makumbo....msanii habo...song keroro!!

    Posted 3 years ago #
  8. edugee
    Member

    wassup dawg remember this line "nonini ni nani na nini" lyrics by nonini song nonini ni nani na nini

    Posted 3 years ago #
  9. Okay watu wangu shukran sana lakini sio mstari zangu pekee mstari zote za genge artists kama Juacali,punit,Flexx,Jimwat and the rest!

    Posted 3 years ago #
  10. ngash44
    Member

    .....kumpandilia itakuwanga ni hobby....under 18 jimw@

    Posted 3 years ago #
  11. mi hufikiria sana mpaka nakula kucha,
    Hi mwaka mtanisikia sana manze kumekucha,
    Hapana leta mchezo kwa kazi,
    wazee wakiongea mdomo wako usikuwe wazi,
    wasanii walianza kupata shida ninteen eighty two,
    hiyo ndiyo siku nilizaliwa na ilikuwa siku ya coo,
    Airforce ilikuwa inajaribu kutake over gover,
    ma Airforce mandula ndio uwaga na vaa,

    Posted 3 years ago #
  12. MWISHO YA MAWAZO

    Kila kitu hufanyika duniani na sababu,
    Kila mtu duniani hukula hepi pia natabuu,
    Lakini mara kwa mara shida sisi huzieka kando,

    kablaa niendelee wacha niambie M.O.B asante,
    Hiza prazera zake zi hukuwa patee,
    Kaa uko na mtotoo muulize kaa anapenda kafilatee,
    Akipenda mzeiya jioni jo, chai jabee,
    Akaniambia jo, yeye hapendagi malantee,
    Hizo niza majamaa wanapenda kujisho,
    Anapendaga kamate na karishoo,
    Anapendaga tuu akiitwa mighty show,
    Anapendaga mastyle zile mii humshoo,
    Na Album mzeiya inaitwaa Mwishoo,ya mawazo,
    kwa hivyo nishow, vile unaipenda ka zilizopendwa,
    beat ikigonga ina sound ka benga,
    Inuwa mkono joo mpaka uumwe na mabega,
    Na chorus mzeiya hivi, hivi, ndiyoo inaenda,

    Posted 3 years ago #
  13. njuguna correction kiasi.......

    Kabla niendelee wacha niambie m.o.b asante,
    zeep,rezorous,tropeez wapate,
    kaa uko na mtoto muulize kama anapenda cafe latte,
    akipenda mzee kaichapeee,

    anapendaga ka malt na ka rishoo,
    anapendaga niki toa tu my tishoo,

    Naona umeskiza hio albumu ya mwisho ya mawazo shukran Njuguna enjoy kabisa!

    Posted 3 years ago #
  14. I bought the album last year august.enywy thanks 4 the correction.

    Posted 3 years ago #
  15. Naandika hi verse ka niko na njaa, naenda kupika bila makaa, na waita na mna kataa, mnasema kanisa niya mavijana, kushibaa ni baada ya salaa, kuiba nayo siku hizi ni balaa, utaa agizwa hima na na mavisagaa, pika hivi tuna mangaa, skuma chumvi na ka ugangaa, chuma,ngumi itaekekagaa, boksa vumbi na makambaa, toka nyuki asali changaa, koma kumi uta shangaa, ama stima zita zimaa, twendee kwa kina farida , jiekee hina kwa mafingaa...

    Posted 3 years ago #
  16. The song is 4 juakali-ngeli ya genge

    Posted 3 years ago #
  17. hobbieh
    Member

    Kama mende hatuguswi kama kupa hatukufi......Meja mambo yote.....

    Posted 3 years ago #
  18. hobbieh
    Member

    Kama mende hatuguswi kama kupa hatukufi......Meja mambo yote.....

    Posted 3 years ago #
  19. Blood Group G genge addict................Mic big gee........Usiku mchana nazichana...............naitana................

    Bonniey P-unit song name juu tu sana!

    Posted 3 years ago #
  20. Genge nijenge, niipeleke mbali,niipandishe ndege, nipandishe gari,nipe dame msupa,nimfanye star,tukitembea pamoja watuite supastar,nipe ganji,niogopwe na watiaji,nipe maji,ni changamshe akili,nipe flow,mi ni blow,nipe show,nipe doo,nipe mathao thao,usinipe soo soo,nipe vako ya kizee,madame wanipende,nipe jako ya kizee, nisi ingize njeve,....JIM@T-ROUND HII.

    Posted 3 years ago #
  21. Hi ni ngoma ingine ya nonini, kuhanya,pump redio usione haya,mamanzi najua washanipatia sifa sana,lakini nataka msiki ongoma ingine niliandika jana mchana,na machali mkiona hao mamanzi kitu mtawafanya,kutavitu kutavitu,ndio msiseme nonini amewa tupatupa,tuko pamoja kwanza ka wewe ni chupa chupa,huyo muhamed akipita ita bidi nimemwita,vile ame beba najua huyo lazima nimtaita,hiyo mini ni fupi,na uliskia usipo ziba ufa, na angusha fifty bob chini alafu na mchungulia,na mpeleka kejani alafu mlango na mfungulia,tuna ruka ndani ya bedcover alafu tunaji funikia,juu ya hiyo story beste nisikuone kwetu,niko na mtoto kwa keja kwa hivyo usikuje kwetu,miezi sita ni mingi leo lazima ni kute vitu,ni mkunje,ni mkunje mpaka saa sita usiku,niki asha taa nione huyu manzi si kitu,...................Lakini na hope huyo mtoto hukumchota cany,ile light ya purple inaweza kudangaya uka dhani,umeangukia mtoto wa power,kumbe mtoto mhandy... By Nons. kuta vitu.

    Posted 3 years ago #
  22. industry ni chakula na mi ndiyo naipika,watoyi wangu washibe wakini skiza,ndio wasilale njaa usiku kwa mtaa,wasiamke kesho yake asubuhi kuiba tuu mtu saba,badala ya saa yote kutulia tu kwa ngazi,tulinza ku rap bila gover,tujipe makazi,lakini watu wengine huona nikaa tuna poteza wakati,wakivaa suti zao,kwani hao hulipwa pesa ngapi!kwa hivyo kijanaa ka mziki ndio iko kwa damu,ifanye bila kumskiza yeyote jo binadamu, uone vile haraka utajitoa kutembea kwa vumbi,kabla ushtuke una magari ka kumi,na ka unaskia una nichukia ma m.c. Nenda ukaji buli,pesa tuta tengeza na hii genge nyi husema ni za kijinga,...Nons-ngoma yako.

    Posted 3 years ago #
  23. ...dalili ya mvua ni mawingu, dalili ya mfungwa ni mapingu, dalili ya ugonjwa ya hiv ni majibu,nina moja kwa mgongo imekataa kupona pona,nilikuwa na madame wengi wote nilikuwa nawa donadona..... By nons in the song vumilia

    Posted 3 years ago #
  24. Ms Babes
    Member

    Unadhani ni Bon'eye ala kumbe ni Chege- Una- Bon'eye aka mtoto wa cucu

    Posted 3 years ago #
  25. Farouk
    Member

    "Niko katika hali ya kusafisha kuni" Chali yangu tueleze meaning yakeeee.... ama ni venye mimi na zesta tunajua !!!!

    Posted 3 years ago #
  26. hellenah
    Member

    blood group g....p unit,BONNY...JUU TUU SANA

    Posted 3 years ago #
  27. Ms Babes
    Member

    Ngepa iko down but flow iko juu
    Wengi wanipenda hao wachache wata do
    ukitaka kunipata wee angalia tu juu ka Raphael tu juu
    asante Nonini si unajua tuko juu
    mi ni kama Jelimo mbio zangu ziko juu kwenye hii track flow iko juu
    Frasha king wa flow
    sikiza joo boy asha grow
    ngoma zina flow, zako zina bore
    mi nasaka ndoo, piga mdomo
    ngoma zangu zikiwekwa wanaruka floor, ngoma zako zikiwekwa wana hepa floor
    Ooohh nimesahau haunanga ma show
    hahahahahahahahhaha
    lakini we ni bro, but mi ndiyo msoo
    ha ha ha ha ha

    Frashaaaaaaaaa....Juu 2 sana

    Posted 3 years ago #
  28. Ms Babes
    Member

    Wapi dame yako, Hauna nyako, ka mtoto kako
    Habo alinishow loose it bro and u will wish u never had it
    Bloog group G, Genge addict
    Mike big G, usiku mchana nazichana, naitana....

    Bon'eye aka mtoto wa cucu.....Juu 2 Sana

    Posted 3 years ago #
  29. Ms Babes
    Member

    "Mabeste siku hizi ni kama particles za chumvi, ni ngumu kujua nani anakupenda; nani hataki uendelee mbele; Niliwandondoa wote kwa maisha yangu ka mchele; ukiona siku hizi na roll peke yangu- usichekee; I guess asanti ya punda ni teke."-

    Godfather wa Genge- Nonini.....Haunijui mimi

    Posted 3 years ago #
  30. Flight ya kwenda makerere si bwerere. N mi ni mskuda lakini sivaagi buibui.
    1st is habo in nawaza feat malik. 2nd is aminaa! Juacali n habo! Tunawatchora t.t.t.t.t.t.t.chora!

    Posted 2 years ago #

RSS feed for this topic

Reply »

You must log in to post.